Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2017

MICHEZO NA BURUDANI

Picha
PATA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI KEMKEM MwangaTZ APELEKWA POLISI KWA KUFANANA NA LIONEL MESSI MAY 09, 2017   Mwanafunzi mmoja nchini Iran amelazimika kupelekwa katika kituo cha polisi mwishoni mwa wiki iliyopita kisa na mkasa! Kufanana kulikokithiri na Lionel Messi.  Watu wengi katika mji wa Hamaden wamekuwa wakiomba kupiga picha na kijana huyo aitwaye Reza Parastesh, na hivyo kusababisha msongamano wa watu kila atakakokanyaga, hivyo polisi walilazimika kumhifadhi kwa muda ili kuondoa msongamano huo. Mkanganyiko huo ulianza miezi michache iliyopita wakati ba a wa kijana huyo aliyefanana mno na Messi alipompiga picha akiwa amevalia fulana ya timu ya Barcelona yenye namba kumi. Reza Parastesh, ana umri wa miaka ishirini na mitano kwa sasa, hivi karibuni alianzisha mtindo wa ukataji nywele na kupunguza ndevu zake mithili ya mshambuliaji huyo wa timu ya taifa ya Argentina  .Reza Parastesh, kwa sasa amebatizwa jina 'Messi wa Ira...

Tambua thamani ya maisha yako

Picha
Jitambue wewe ni nani

my photos

Picha
MAISHA NI CHANGAMOTO KUBWA SANA LAKINI KUNA WAKATI UNAPOTAKA KUYAOKOA MAISHA YAKO UTAYAANGAMIZA NA UNAPOTAKA  KUYAANGAMIZA UTAYAOOKOA NAUPENDA  SANA MKOA WANGU WA MBEYA ( GREEN CITY ) NIKIWA NA RAFIKI ZANGU TUKITAFAKARI NA KUFURAHIA MAISHA                       TABASAMU ZURI HUTATUA MATATIZA NA KUKAA KIMYA NI KUZUIA MATATIZO ( ERASTUS 2005) JITAHIDI KATITA MAISHA YAKO KUSIKILIZA SANA KULIKO KUZUNGUMZA SANA SABABU WENGI TUMEPOTEZA MUDA WETU KWA KUWAAMBIA WATU MATATIZO YETU HATA KWA WATU AMBAO WASINGEWEZA KUTUSAIDIA NA KIKUBWA NI KWAMBA SI KA TATIZO LAZIMA UWAAMBIE WATU JAKAZE KUTATUA MATATIZO YAKO MWENYEWE KILA JAMBO LINAWAKATI WAKE KUNAWAKATI WA SHIDA NA WAKATI WA RAHA LAKINI HUPATIKANA KWA KILA ANAEJITUMA KWA WAKATI NA FULSA ALIZOPEWA MTAZAMO WA MTU AU WATU NDIO UNAAMUA  KUWA MTU FULANI YUKO SAHIHI AU SIO SAHIHI NA CHOCHOTE KINACHOFANYIKA HUPATIWA MAANA KULINGANA NA MAZI...