my photos

MAISHA NI CHANGAMOTO KUBWA SANA LAKINI KUNA WAKATI UNAPOTAKA KUYAOKOA MAISHA YAKO UTAYAANGAMIZA NA UNAPOTAKA  KUYAANGAMIZA UTAYAOOKOA
NAUPENDA  SANA MKOA WANGU WA MBEYA (GREEN CITY)



NIKIWA NA RAFIKI ZANGU TUKITAFAKARI NA KUFURAHIA MAISHA                      


TABASAMU ZURI HUTATUA MATATIZA NA KUKAA KIMYA NI KUZUIA MATATIZO ( ERASTUS 2005)



JITAHIDI KATITA MAISHA YAKO KUSIKILIZA SANA KULIKO KUZUNGUMZA SANA SABABU WENGI TUMEPOTEZA MUDA WETU KWA KUWAAMBIA WATU MATATIZO YETU HATA KWA WATU AMBAO WASINGEWEZA KUTUSAIDIA NA KIKUBWA NI KWAMBA SI KA TATIZO LAZIMA UWAAMBIE WATU JAKAZE KUTATUA MATATIZO YAKO MWENYEWE













KILA JAMBO LINAWAKATI WAKE KUNAWAKATI WA SHIDA NA WAKATI WA RAHA
LAKINI HUPATIKANA KWA KILA ANAEJITUMA KWA WAKATI NA FULSA ALIZOPEWA




MTAZAMO WA MTU AU WATU NDIO UNAAMUA  KUWA MTU FULANI YUKO SAHIHI AU SIO SAHIHI NA CHOCHOTE KINACHOFANYIKA HUPATIWA MAANA KULINGANA NA MAZINGIRA PAMOJA NA JAMII HUSIKA

















SI KILA ATAYEKUTAZAMA ATAKUONA KWA JINSI ULIVYA LAKINA KILA MMOJA ATAKUTAZAMA KWA MAANA ALIYONAYA PAMOJA NA KUSUDI LAKE
KAMWE USIACHE KUJARIBU MPAKA UFANIKIWE





USIRUDI NYUMA WALA KUTAZAMA HUKO SABABU KUNA MAZURI YANAKUNGOJEA MBELE YAKO














KILA KINACHOONEKANA KIZURI KIMEPATIKANA KWA JASHO LAKINI KAMA SIYO
KWA JASHO SI CHAKUTAMANI





Ndoto za watu walio wengi katika kesho yao

Kiukweli watu walio wengi wamekuwa na ndoto za kumiliki vitu vikubwa kiliko nguvu wanayoiwekeza katika kutafuta hivo vitu vikubwa kiasi kwamba wameishia katika maisha ya kawaida mno ambayo hata hawakuyatarajia na hawayapendi. Na kupitia hii kitu ndipo ndugu zetu wa nchi zilizoendelea wamekuwa wakituzidi sababu ya kutumia vizuri lasirimali zilizopo na nguvu walizonazo kwa wakati huo, pia tuambiane ukweli ili tupate pona sababu waafrika tulio wengi tumekuwa wavivu katika kufikiri pamoja na vitendo na uvivi huongezeka pale kipato kinapoongezeka sababu ya hali mbalimbali za kutaka kujulikana katika jamii walizopo


Hakuna jambo au mafanikio yanayopatikana kwa hali na uvivu tulionao sisi tunao patikana katika nchi zinazoendelea, ndomana wingi husema kuzaliwa masikin si kosa bali kufa masikini ndo kasa kwasababu mungu katoa mudo na fulsa mbalimbali na kutupa afya bila kujali huyu ni masikini au yule ni tajiri zaidi ya fulani



For every person who need to develop his/her development situation, there must be some changes to be done in order to reach that level of the prosperity, thus you need to keep on updating yourself from day today normal situation, sometimes you may be facing a lot of challenges but you have to encourage yourself nor matter what circumstances is surrounding you
    NB:Most of great people, began from the very low standard of living towards the prosperity so as to make history that could help the other people of the same challenge, thus any history of the warriors is not made completely of the sweetest things, but it include a lot of setbacks, valleys, hills and storms. But things which make them to be on the successful side is that, they keep on believing that one day GOD will provide a way for me 




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TE 121: COMPUTER NETWORKING